JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Humu si kila mtu ni mwanadamu mengine ni majini usiku ndio yanakuwa active.Jini likicomment kwenye Ujumbe wako linasafiri na ujumbe wake kama data kufuata Ujumbe wako ulipoanzia kuandikwa.Kwakuwa umeandika kutoka kwenye simu au computer huo ndio unakuwa mlango wake wa kutokea na kujumuika na wewe hapo kitandani unapolala
Acha kutisha watu kama una usingizi pambana na hall yako mkuu.(
 
Back
Top Bottom