NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja leo niwaachieLeo pumzika tafadhali.....waachie wenzio nao walinde uzi wetu,maana mwishowe utazimika lol....![emoji12] [emoji12]
Wap leo we popo umepata mchuchu nn wa kukupa joto usik huu
[emoji87] [emoji87] [emoji87] pole sanaKila mtu ana stori katika maisha yake akikwambia unaweza kufikiri ni utani lakini ndio uhalisia wenyewe, binafsi stori ya kwangu Mimi ni mmoja kati ya watu wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mdogo angu vipi[emoji12]Inna
[emoji56] [emoji56] pole..jana sijachati sanaJana nimezunguka kwenye nyuzi karibia zote nikikutafuta bila mafanikio [emoji19] [emoji19]
AminaaaAsanteee, namshukuru Mungu mie naendelea vzr[emoji4] [emoji4]
Chalii niaje
Hahaha, ni dingi arifu sio kiding bana
Hahaha asee huku gud man aina worry tuko mapopo as usualHahaha, ni dingi arifu sio kiding bana
Huku full sijui huko aje aje
Naona kama kawa, vp chuga huko baridi hili, halikusumbui kwel boblaiHahaha asee huku gud man aina worry tuko mapopo as usual
Sorry chief
Sent using Jamii Forums mobile app
Boblay sipo chuga kwa sasa but kama baridi linasumbua si unatafuta desii wa kutake coverNaona kama kawa, vp chuga huko baridi hili, halikusumbui kwel boblai
[emoji13] [emoji13] kwel kabisa, upo pande sasa, chalii yanguBoblay sipo chuga kwa sasa but kama baridi linasumbua si unatafuta desii wa kutake cover
Nipo kwa kikonda [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji13] [emoji13] kwel kabisa, upo pande sasa, chalii yangu
Tafadhari bana, kikonda au mheshimiwa Makonda?
Mi simjui huyo , naye yupo huku carribean iceland [emoji15] [emoji15]Tafadhari bana, kikonda au mheshimiwa Makonda?