Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hebu tusubirie tuone...Basi mimi nilikuwa nadhani labda ni macho yangu tuu, anyway ngoja wadau wajipange labda wanaweza kuleta vitu vizuri zaidi vitakavyogusa hisia za wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tusubirie tuone...Basi mimi nilikuwa nadhani labda ni macho yangu tuu, anyway ngoja wadau wajipange labda wanaweza kuleta vitu vizuri zaidi vitakavyogusa hisia za wengi.
Kwasababu hakuna wanaoweza kustay kilingeni hadi muda wetu pendwa kuisha.We mwenyewe unaboa....saa 12 asubuhi ndo unaonekana kilingeni! Why?
Nakuachia kijiti
Nipo mimi mkuu mbona bado mapema sana
Kwa wengine sahv wameshafika Katavi kutokea Dar Es Salaam na ndio wapo njiani wanageuza kwa usingizi.Nip
Nipo mimi mkuu mbona bado mapema sana
Ohoo, ni mtoto mchanga ama?Tupo pamoja wakuu, mtoto anasumbua sana hakuna kulala mama yake kanipokea kidogo nikaona ngoja nilog in JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inna jirani yangu alikutafuta sana sijui ulitorokea mtaa upi, Kichwa KichafuPopozz[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
[emoji3] [emoji3] alikuja sa ngapi?Inna jirani yangu alikutafuta sana sijui ulitorokea mtaa upi, Kichwa Kichafu
Nawewe kumbe ni member humu comrade00:10am
Monday 4.9.2017
CaptainPoa kabisa!
Mzima wewe?