Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Mkalale sasa inatosha, watu mpaka mida ya wanga mpo tu, mnategemea wawangaji tuwange saa ngapi.[emoji42] [emoji42] (naota).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchepuko wake ulipoondoka akatia timu hapa, yule jirani yangu hafai kabisa[emoji3] [emoji3] alikuja sa ngapi?
Teeh teh ata leo naona kashikwa sijui ataachiwa sa ngapiMchepuko wake ulipoondoka akatia timu hapa, yule jirani yangu hafai kabisa
Ney yaan usiku nikiwa na shida na ww wala sipati tabuMchepuko wake ulipoondoka akatia timu hapa, yule jirani yangu hafai kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ney yaan usiku nikiwa na shida na ww wala sipati tabu
Atakuja tuu [emoji23][emoji23][emoji23]Teeh teh ata leo naona kashikwa sijui ataachiwa sa ngapi
Pole kamandaKwa hizi stress za maisha watu tutakosa usingizi hadi basi.
Ndio maana hulali pazr et
Za UsikuAtakuja tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuvute subira
Nzuri mpz, za kuamkaZa Usiku
Duh!Jf usiku wa manane tuanzishe mfuko wa kusaidiana magonjwa hasa ya malaria bajameni!
Sent using Jamii Forums mobile app
mamboz. naomba unichumTeeh teh ata leo naona kashikwa sijui ataachiwa sa ngapi
Usingizi unaraha yake hasa mkiwa wawili sasa Mkuu utapataje usngizi ukiwa mupweke