Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Nimetoka mweupe hukoNaomba nitag ukipata lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoka mweupe hukoNaomba nitag ukipata lolote
UmeshanipataNakutafuta
Muhongo alie kuwa waziri wa urembo na Taa au?Popoz! Ati muhongo kakamatwa!
Kama kawaida yakoNaona watu [emoji42] [emoji42] [emoji42]
Wengine wanapalilia [emoji173] [emoji180]
Ngaja Mimi niendeleze dozi yangu ya[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] na
[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji446] [emoji447] [emoji441] [emoji449]
[emoji125] [emoji125]
We ndo umepotea sana jana sijakuona kabsa maeneo haya
Jana nimekuja we ukaanza tabia za kuku unachungulia mapema then unasepa.We ndo umepotea sana jana sijakuona kabsa maeneo haya
Vp yule mchepuko kakuachia
Leo nipo sina u kuku tena.Jana nimekuja we ukaanza tabia za kuku unachungulia mapema then unasepa.
Mchepuko umeniacha aiseeh labda uwe njia kuu nitulie mtoto wa mwenzio.
Vipi leo uhudumii ndoa huko?Leo nipo sina u kuku tena.
Heheee ndoa? nkiolewa ndo ntaihudumiaVipi leo uhudumii ndoa huko?
Ndio gazeti jamhuri jana!Muhongo alie kuwa waziri wa urembo na Taa au?
04:40 Inna njoo tujivinjali hapa03:33 kichwa kichafu bado upoo?
Bundiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heheee ndoa? nkiolewa ndo ntaihudumia
Dogo nakutafuta sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahha, nimeachiwa leo hahahahahahaKweli mkuu, jamaa yule hana staha amesababisha watu wawili NAHUJA na sergio 5 wakala BAN..inahuzunisha sana, Comrade wapo waliodhani yule jamaa ni mimi aseeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mtani nilihuzunishwa sana wewe kupigwa BAN kwa ajili ya yule mpuuzi asiyejielewa... Anachojua ni kuiba AVATAR za watu na kutukana watu wengine..hizi kiki kwa pikipiki balaahahahha, nimeachiwa leo hahahahahaha