Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap mkuu kichwa kichafuKiongozi kiongozi lindo huko usalama
Jirani yangu nae anawenge la usingiz eti hanioni jamaniYupo
Asanteh best, mambo vipi?Neybright pole na lindo
Poa kabisa mkuu"""vitanda vina kunguni ngoja tuwe mapopoAsanteh best, mambo vipi?
Bora kungekuwa na kunguni ningevumilia, godoro langu lililowa banah nikalitoa nje asubuhi walau lipate jua nikajisahau kwenda kwenye kutafuta riziki huku nyuma mvua ikanyesha, sasa godoro chepechepe nimejuta sana bora unyevu wa kojo kulikoni utepe wa mvua nitalalaje leo mie [emoji26][emoji26]Poa kabisa mkuu"""vitanda vina kunguni ngoja tuwe mapopo
Pole sana mkuu kwa maswahibu yaliyokupata [emoji260][emoji260][emoji260]Bora kungekuwa na kunguni ningevumilia, godoro langu lililowa banah nikalitoa nje asubuhi walau lipate jua nikajisahau kwenda kwenye kutafuta riziki huku nyuma mvua ikanyesha, sasa godoro chepechepe nimejuta sana bora unyevu wa kojo kulikoni utepe wa mvua nitalalaje leo mie [emoji26][emoji26]
Kusikojulikana limeshika kasi kuanzia jana[emoji12]Pole sana mkuu kwa maswahibu yaliyokupata [emoji260][emoji260][emoji260]
Njoo tukeshe hapa tuchat kusikojulikana
Asanteh sana, acha niendelee kulipiga pasi taratibu huwenda likakaukaPole sana mkuu kwa maswahibu yaliyokupata [emoji260][emoji260][emoji260]
Njoo tukeshe hapa tuchat kusikojulikana
Ikishindikana njoo huku [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Asanteh sana, acha niendelee kulipiga pasi taratibu huwenda likakauka
Haya banah kibiti sio eeh [emoji124][emoji124]Ikishindikana njoo huku [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji15] [emoji15] unachat usiku kucha ama una download movies?
Huwa nasoma makala mbali mbali mitandaoni! Yani pona pona yangu ili nilale ni Sim ikizima kwakuishiwa chaj
Hahabhahaha umenikumbush Arusha wanakuambia kula bata batani[emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Popo poponi bundi bundini