spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Kama kawa, mapemaaaaaa![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji137]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawa, mapemaaaaaa![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji137]
Miss you more NeyManga I miss you
2:1200:00 am
Huu uzi kuna siku zingine siuoni kabisa. Manga ulikuwa wapi Jana rafiki?2:12
Nipo rafiki kupoteana tuHuu uzi kuna siku zingine siuoni kabisa. Manga ulikuwa wapi Jana rafiki?
Karibu tu usongeshe kama nawee ni mpweke
Basi mie ndio natandika majamvi hapa niweke ubavuNipo rafiki kupoteana tu
Uko poa wangu
Nilikuambia pitia kwenye patcpat zako utaukuta
Karibu mie umekat kitmb nkasema ngoja nichungulie hapa
Mbona umenifungui mkuu?Basi mie ndio natandika majamvi hapa niweke ubavu
Upo hadi huku???Usiku popo, mchana twalala
Sijakuelewa manga..Mbona umenifungui mkuu?
Nimekuja kwako nikakuta kufuliSijakuelewa manga..
Nimeota ndoto ya kis.e.nge..mpka nmeshituka..nimekosa hata mzuka wa kusinziaKaribu mie umekat kitmb nkasema ngoja nichungulie hapa
sending using jamiiforum makinikia
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kuna kituko kilinisibu nikaweka kufuli. Manga kesho rafiki,nitakucheki mimi ili uweze kunitext.Nimekuja kwako nikakuta kufuli
Pole sana ntasubili leo umekesha upo matembezi?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kuna kituko kilinisibu nikaweka kufuli. Manga kesho rafiki,nitakucheki mimi ili uweze kunitext.