JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Me nimekosa lodg niko na toto matata sijui niende uwanja wa fisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi kusikia baraka za Mungu juu yako.
Kuhusu swali lako niko kitandani mkuu.
Hope nimekujibu vyema[emoji12]

Jesus is my saviour and a friend
Amen...!!!![emoji120] nawe ubarikiwe ktk kazi zako mkono wa Mungu usikupite

Hehehehehe nimegundua wewe mjanja, unajibu kama mbunge anavoenda kuomba kura kwa wananchi
 
Back
Top Bottom