Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Tafadhali usinichonganishe na wifi yangu bwana!labda kaona noma kusema moja kwa moja akaona inafaa apitie mgongo wa kuwa refa hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali usinichonganishe na wifi yangu bwana!labda kaona noma kusema moja kwa moja akaona inafaa apitie mgongo wa kuwa refa hahaha
Usiogope bibie wifiyo ana upendo wa agape, anakupenda kama nafsi yake[emoji12] au ushasahau ya wahenga "kizuri kula na nduguyo"Tafadhali usinichonganishe na wifi yangu bwana!
kumradhi mpendwaTafadhali usinichonganishe na wifi yangu bwana!
Asantekumradhi mpendwa
ohoooUsiogope bibie wifiyo ana upendo wa agape, anakupenda kama nafsi yake[emoji12] au ushasahau ya wahenga "kizuri kula na nduguyo"
Naona Bundi Thad ushaanza kusinzia[emoji40]Asante
nilidhani ni mimi tu niliegunduaNaona Bundi Thad ushaanza kusinzia[emoji40]
Mkuu huu uchochezi sasa, [emoji12] [emoji40] [emoji125]ohooo
hahahaha niwie radhi mkuuMkuu huu uchochezi sasa, [emoji12] [emoji40] [emoji125]
Hata huku umeme umekata kabisa, njoo kwangu nina jenereta[emoji12].....umekata kabisaaaa
nani huyo?.....umekata kabisaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] njoo unifuate naogopaHata huku umeme umekata kabisa, njoo kwangu nina jenereta[emoji12]
Hahahaha usiniangushe bhana, hapajawahi tokea "mumu" muoga.[emoji39] [emoji12][emoji1] [emoji1] [emoji1] njoo unifuate naogopa
dohFuso![]()
Hata mimi nipo hapa naona wife anakoroma tu.Usingizi umenipaa wadau.
Mimi nachora tuu Picha hapaHata mimi nipo hapa naona wife anakoroma tu.