Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
trouble maker we designated survivor wa leo humu[emoji3][emoji3][emoji3]Hiiiii
Hahahhahahaha naona unataka kutumia fursa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na sisi njoo tulale ili tufanye ngoma droo, haiwezekani watufanye sie ndo neti zao[emoji85] [emoji40] [emoji125]
Niliishtukia hiyo janja ya nyaniHahahhahahaha naona unataka kutumia fursa
Hujambo lkn?Niliishtukia hiyo janja ya nyani
Asanteh sanaGeti li wazi........karibuni popo na bundi
Sijambo mamy, jilalie mwaya hii JF ipo tu siku zoteHujambo lkn?
Naona nimekuja kuwa popo muoga
Nalala mapema sana ck hiz
Jana hukutimiza jukumu nililo kuachia mamy.......Asanteh sana
Hivi kumbe macho nayo ni popo eeh! Maana wahenga walisema popoo mbili zavuka mto ...............machopopoooo
Hivi kumbe macho nayo ni popo eeh! Maana wahenga walisema popoo mbili zavuka mto ...............macho
Mwenzangu acha tuu sijui hata nilipatwa na nini [emoji3][emoji3][emoji3]Jana hukutimiza jukumu nililo kuachia mamy.......
Oooh! pole sana ila nashukuru, kuna mtu alikusaidia kufunga geti letu......japo alilifunga mapema sana. saa 3 amMwenzangu acha tuu sijui hata nilipatwa na nini [emoji3][emoji3][emoji3]
Bora hata maana tungevamiwa, si jambo jema kulala geti waziOooh! pole sana ila nashukuru, kuna mtu alikusaidia kufunga geti letu......japo alilifunga mapema sana. saa 3 am