Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoMmelala
03:1403:14
Hahahahha nijo kazini mzee nawataftia watoto msosiNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Acha kusema "jomoni" wengine sisi ni walokoleJomoni
Usiku bado bhana, nyi mbona!??Acha kusema "jomoni" wengine sisi ni walokole
Duh! Nilijua wote tuko Shanghai samahani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Usiku bado bhana, nyi mbona!??
Usinikumbushe mbali, pale kwenye lile dude la posta nilinyeshewa mvua kubwa sana hadi nilikoma. Sipendi kukumbuka hiyo siku!Duh! Nilijua wote tuko Shanghai samahani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amen mama mchungaji[emoji524]YEREMIA 33
3.Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
Haahahaha we jamaaautasema huu sio mstelingi wa gari.![]()
Mkuu, umeandaa viserebusho niwaite wadau?Wellah! wellah! Njooni tuserebuke, ni mida yetu!
KaBisA!Mkuu, umeandaa viserebusho niwaite wadau?
Neybright, jje's, Kichwa Kichafu, Nleterewa Nganengo na wengineo njooni tuserebuke huku............KaBisA!