Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Kumbe series ndizo hukupa nguvu ya u bundi eeh!leo sina bando la kupakua series,ntaawacha wadau muwe na usiku mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe series ndizo hukupa nguvu ya u bundi eeh!leo sina bando la kupakua series,ntaawacha wadau muwe na usiku mwema
Nipo dearNeybright, jje's, Kichwa Kichafu, Nleterewa Nganengo na wengineo njooni tuserebuke huku............
Tafadhali baki na lindo, mi leo ubawa wangu kushoto unaniuma hivyo siwezi kuruka kipopo popo, halafu sauti imekata na raha ya bundi ni kuunguruma.12:10
Afadhali umekuja,umsaidie lindo Manga MLNipo dear
Natafuta step [emoji6]
Ndo kwanza mida ina anza wanikabize lindo hem vuta subra kidogoTafadhali baki na lindo, mi leo ubawa wangu kushoto unaniuma hivyo siwezi kuruka kipopo popo, halafu sauti imekata na raha ya bundi ni kuunguruma.
Hiyo step ya kuelekea wapi?Nipo dear
Natafuta step [emoji6]
Hali ya hewa huku Nanjilinji niliko si nzuri kabisa,wacha nilaleNdo kwanza mida ina anza wanikabize lindo hem vuta subra kidogo
Ohooo [emoji124][emoji124][emoji124]Afadhali umekuja,umsaidie lindo Manga ML
KuserebukaHiyo step ya kuelekea wapi?
Kwani,umetumwa ??? We paka niniAcha kusema "jomoni" wengine sisi ni walokole
Ney mambo mambo ?Bado
Manga mambo ???12:10
Baridi jotoo au mvua?Hali ya hewa huku Nanjilinji niliko si nzuri kabisa,wacha nilale
Poa mpenzi za Kwako?Ney mambo mambo ?
Et utanisaidia kulinda? Mana sijawahi pekeanguOhooo [emoji124][emoji124][emoji124]
Uko api wewe ??? Ushaingia lindo ??Hahaha kwani hapo wameandika wahenga au wewe, huu msemo wako ulioandika naukubali, lakini ule wa Wahenga Big No.[emoji12] [emoji125]
Niite tafadhaliKuserebuka
Safiii kwema ???Poa mpenzi za Kwako?