Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu ni saa 23:23kama kweli hamjalala sasa hivi ni saa ngapi?
Mie niko na mi gente remix tu hapa...freeze[emoji119][emoji119][emoji119]Usingizi sina Leo ni Hallelujah tu
Nipo hapa kwa ajili yakoLeo huku kumenuna, ngoja nilale zangu
Karibu .!!02:10 hodii
Yes..!! Comrade nipo hapaMaSeRAti, NeyBriGhT, DiNGimtoTO, kamu bande hii iko mtu inawaita!
Afadhali,maana mpaka nilikuwa naogopa kukaa hapa peke yangu.Nipo hapa kwa ajili yako
Usiogope, tumumbwa kwa ajili yenu, kwema huko lakinAfadhali,maana mpaka nilikuwa naogopa kukaa hapa peke yangu.
Ongeza sauti..............amekusikia dingimtoto tu,wengine bado hawajakusikiaMaSeRAti, NeyBriGhT, DiNGimtoTO, kamu bande hii iko mtu inawaita!
Kama kweli mmeumbwa kwa ajili yetu mbona mnatuachaga kwenye mataa?Usiogope, tumumbwa kwa ajili yenu, kwema huko lakin
Aisee ni wachache wasio elewa thamani ya mwanamke kwake, ila pia saa nyingine nanyi mnatikisa chupaKama kweli mmeumbwa kwa ajili yetu mbona mnatuachaga kwenye mataa?
Huku kwema,sijui kwenu huko
Huku kwema kabisa, habari za mapumZiko ya mwisho wajumaKama kweli mmeumbwa kwa ajili yetu mbona mnatuachaga kwenye mataa?
Huku kwema,sijui kwenu huko