JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sasa niharibie kwa shemeji yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unataka kumsababishia jirani yangu matatizo makubwa jamani
Hahaha palipo na jirani hua hapaharibiki neno, maandiko yanasisitiza kumpenda jirani kama "nafsi yako" na sio mumeo.
Mumeo yake "heshima tu" basi.[emoji40] [emoji85]
 
Back
Top Bottom