Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Mie mzima,hofu kwako mamyHa ha ha ha ha. Watakuja tu ,Hujambo wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mzima,hofu kwako mamyHa ha ha ha ha. Watakuja tu ,Hujambo wewe?
hello.!!
Kunywa mayai mabichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora unisaidie kuwaita wewe mwenye suti nyororo maana mie nimewaita na hii sauti yangu ya mkwaruzo wanajifanya hawanisikii
Karibu sana, za kupotea?hodi hodi waungwana!!!
Karibu mwenzetuhodi hodi waungwana!!!
AhahahaaaaaDr.kanambia nilale mapema ili nikue haraka 🙂🙂🙂🙂
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Namsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
nzuri nawewe za kuadimikaKaribu sana, za kupotea?
Tukikuota wote sidhaninkama utapata usingiz. Utajigeuza kitandani hadi kokorikooooNaona leo bundi wote chalii
Nleterewa Nganengo
Neybright
Manga ML
jje's
Kichwa Kichafu
Gentries n.k
Mlale unono,mniote eeeh!
Mmmmh! kwani na wewe ni dokta? Mbona jirani yako KK hajanambia?Kunywa mayai mabichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
asante.!!!! mwenzangu za huko uliko!?Karibu mwenzetu
Uko wapi mydear
Karibu dingimtotohodi hodi waungwana!!!
Hahahah! Mkiniota wote ndo nitakua harakaTukikuota wote sidhaninkama utapata usingiz. Utajigeuza kitandani hadi kokorikoooo
Salamaaaah tunamshukuru Mungu kwakweliasante.!!!! mwenzangu za huko uliko!?
duuh shem dingi ake moto ndie miye[emoji19]Karibu dingi ake moto
Nipo dear wangu, nilifungua get hakukuwa na mtu ukumbini ila naona wanakuja kwa fujoUko wapi mydear
Namshukuru Aliyejuu ananipigania, kila iitwayo leonzuri nawewe za kuadimika
wacha weee.!! hata me naona something Amaizing nipe siriSalamaaaah tunamshukuru Mungu kwakweli
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hayaHahahah! Mkiniota wote ndo nitakua haraka