dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
safi, shem ajambo!?Namshukuru Aliyejuu ananipigania, kila iitwayo leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi, shem ajambo!?Namshukuru Aliyejuu ananipigania, kila iitwayo leo
Jirani yangu huwa anawivu hapendi kunisifia either kwa kutoa wasifu wangu or sifa zilizo nzuri kwangu sijui anashida ganiMmmmh! kwani na wewe ni dokta? Mbona jirani yako KK hajanambia?
Nimerekebisha my shem jmnduuh shem dingi ake moto ndie miye[emoji19]
Bila shaka hajambo! Wifi je?safi, shem ajambo!?
Siunajua mambo ya kusubiriana sasa ngoja tujimwaemwae ukumbiniNipo dear wangu, nilifungua get hakukuwa na mtu ukumbini ila naona wanakuja kwa fujo
aisee, kwa bahati nzuri au mbaya huyo hayupo kwa sasaBila shaka hajambo! Wifi je?
amna maneno shem, unatumia pc eeh?Nimerekebisha my shem jmn
Naona hii keyboard sio rafiki
Hahahah! Kwahili lazima ajibu tuhuma hizi 😉😉😉Jirani yangu huwa anawivu hapendi kunisifia either kwa kutoa wasifu wangu or sifa zilizo nzuri kwangu sijui anashida gani
Ni kujikita kwenye maombi tuu hakuna kitu kingine dingi, ni mwendo wa kuomba na kusifu halleluyah [emoji134][emoji134][emoji134]wacha weee.!! hata me naona something Amaizing nipe siri
iyo avator ysko imenitisha namda nipo alone daahMida ya wanga inakaribia....
EwaaaaSiunajua mambo ya kusubiriana sasa ngoja tujimwaemwae ukumbini
Fanya mpango wa kumtafuta....aisee, kwa bahati nzuri au mbaya huyo hayupo kwa sasa
[emoji120] amen amen, sasa nikupe kibarua mwenzanguNi kujikita kwenye maombi tuu hakuna kitu kingine dingi, ni mwendo wa kuomba na kusifu halleluyah [emoji134][emoji134][emoji134]
Kila mtu huku Jf anatumia PC bhana. Fbook ndo huwa wanatumia mobile phones[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12]amna maneno shem, unatumia pc eeh?
[emoji4] sawa hilo halina shida ila bado bado kwanza mda wakeFanya mpango wa kumtafuta....
Mhhhhh utamfanya akimbie kijiwe siunamjua jirani yangu alivyo, kwenye mambo ya kujibu tuhuma hajiwezi jamaniHahahah! Kwahili lazima ajibu tuhuma hizi 😉😉😉
[emoji47] tafadhali shem, mimi mbona natumia. simu sasaKila mtu huku Jf anatumia PC bhana. Fbook ndo huwa wanatumia mobile phones[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12]
Kipi hicho?[emoji120] amen amen, sasa nikupe kibarua mwenzangu
naomba uwe unaniombea ktk Maombi yakoKipi hicho?