Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni jirani wa upande kaskazini mashariki...........sijui wewe mwenzanguNa wewe ni jirani upande upi?
Naomba umpe ushauri nasaha,aache hiyo tabiaNimeona aisee
Asante,nawe pia mamy! ngoja tumwachie uwanja alibakariSpeed ya humu imepungua sana na huwa siwez kusubir
Acha niwaage uck mwemeni wote
Imeandikwa kila mtu ataubeba msalaba wake, jitahidi tuu ujiombee mwenyewe [emoji28][emoji28]naomba uwe unaniombea ktk Maombi yako
Msamehe tuu hakuna namnaBasi ngoja nimsamehe asije akakimbia bure,jje's akanilaumu
Punguza wivu jje's, huyo ni jirani yangu kimtaaDuuuh huyu jiran ni huyu huyu ama mwingine. Mbona ana majirani wengi sana? Au ni jiran kiwilaya, wengine kimkoa, wengine kinchi na wengine kihouse?[emoji12] [emoji12] [emoji38]
Nauliza tu
Hapana aiseeh bora uendelee kudumaa tuu [emoji23][emoji23][emoji23]Neybright na mimi uniombee,nikue haraka
Ahahahaaaaaa Umenikumbusha mbali sana aiseehShem bhana, ukiwa JF inaitwa PC au tablet bhana
Duuh
Nakuona pia, Vipi leo upo au wapita???Popooooozz, nawaona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia Neybright ni jirani wa members wote wa JF.............bila shaka atakuwa hewa tena oksijeni
(Ney plz nisamehe si mimi ni usingizi)
Umeanza mbwembwe zako sasaHuu uzi siku hizi nitakuwa napita na kuwachungulia tu, maana hakuna namna. Hamna popo wa kunishinda humu
Huna mume?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe niue tuu, sijaona hata [emoji23]
Ulale salama mpenziSpeed ya humu imepungua sana na huwa siwez kusubir
Acha niwaage uck mwemeni wote
2:1912:15am
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hello from this side. Where are you Manga ML Kichwa Kichafu
Yani baada ya ufunguzi tu unaaga bundi gani wewe?Naona leo bundi wote chalii
Nleterewa Nganengo
Neybright
Manga ML
jje's
Kichwa Kichafu
Gentries n.k
Mlale unono,mniote eeeh!
Ntaminije kama sauti ya mkwaruzo?Bora unisaidie kuwaita wewe mwenye suti nyororo maana mie nimewaita na hii sauti yangu ya mkwaruzo wanajifanya hawanisikii
Shangaa na weweKulikoni mpenzi mbona haraka namna hiyo?