Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafik angu Ney miss u sanaaa....bado kidogo ntarudi kujiunga na hili chama letuKichwa hivi Inna yupo wapi now days?
Mimi nilikuwa naangalia series ya "Genius", za kihindi nilijaribu kujifunza kuzipenda nikashindwa.Naangalia movie ya kihindi ya long time "MARDI"
Kwema kabisa mkuuaje humu nyie wanga
Okey mydear ngoja niwe na subira tuu no way out.Rafik angu Ney miss u sanaaa....bado kidogo ntarudi kujiunga na hili chama letu
Hapa naona mambo yamekaa muswano.. Naona sasa ni mahaba mubashara.[emoji85]Hawataelewa hadi tutakavyowaonesha picha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]
Samahani, eti umeshamuona Bundi Thad maeneo ya karibu na kwa jirani yako?Okey mydear ngoja niwe na subira tuu no way out.
Miss u jje'sEwaaaaa
Inapoelekea naons hivyoHawataelewa hadi tutakavyowaonesha picha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]
Bring back our Thad mkuu[emoji40]Popo wote ndio mda wenyewe tulivu kabisa
Abeeee!Bring back our Thad mkuu[emoji40]
Ndio aliingia ndani kwa jirani yangu kichwa kichafu, embu jaribu kucheck na kk amfungulie atoke maana ni muda mrefu toka kaingia ndani sijui anapika au anafuaSamahani, eti umeshamuona Bundi Thad maeneo ya karibu na kwa jirani yako?
Nimemrudisha ila usiku mwema wakuuBring back our Thad mkuu[emoji40]
Usiku mwemah[emoji23] [emoji23]Abeeee!