JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Acha nikakuote Thad.

Hapa nabashiri herefu zipo wapi naona sura yako tu. [emoji11] [emoji11]

Nimekumiss pia
Hivi mkuu tafadhali usiniumizie Dada yangu jje's, naona mitetea imezidi sasa.
Tafadhali anaetakiwa kuhifadhiwa moyoni awe jje's tu wakina Thad wahifadhi kwenye bandama na figo[emoji85] [emoji40] [emoji125]
 
Eeeh! Naona ushakula mahari kabla mshiki wako jje's hajapewa kishika uchumba [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndo maana promo kubwa
 
Back
Top Bottom