Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Aaah..Hapana shemela,huyo ana mama kayayii wake...
Wewe ni mama nani tena vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah..Hapana shemela,huyo ana mama kayayii wake...
Hahaha hapa nilijua U-turn itahusika, nakutakia malipizi mema mkuu[emoji40]Sijapata hata mualiko walikua pekeyao tutalipiza na sie peke etu au sio?
Lala tuu shemKanijibu hivi eti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muite mama chanja lakini ukiwa hapa tu usilitumie pengine mpaka akuruhusu mwenyeweAaah..
Wewe ni mama nani tena vile?
Hahaha basi wacha tuliweke, kwenye ile maktaba ya maswali yasiyojibikaMkuu unanibebeaha fuko sijui lina nini ujue mjibu mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha hapa nilijua U-turn itahusika, nakutakia malipizi mema mkuu[emoji40]
Bora nisimuite...Muite mama chanja lakini ukiwa hapa tu usilitumie pengine mpaka akuruhusu mwenyewe
Hahahaha mkuu, kipofu hafinywi mkono wakati wa kula ujue, taratibu mbinu nyingine nimejifunza kwa tabu sana[emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inamaana umeniandalia mazingila ndo.mana nakukubali ha ha haaa
Ha ha haaa hapa ntalazimishwa nijibu kwanza kabla ya chochote fanya maalifa life hili swaliHahaha basi wacha tuliweke, kwenye ile maktaba ya maswali yasiyojibika
Hahaha sio mbaya mkuu, samaki waliouliwa kwa baruti huwa ni watamu sana ujue, sema watu wengi waoga kumla[emoji40] [emoji125]Bora nisimuite...
Nawaza nikakutana nae huko anafanya mambo yake nikamuita hivyo..
Nitakuwa nimeuwa samaki kwa baruti
Hewaaa uzuri yupo hulu lakini labda asipende tuBora nisimuite...
Nawaza nikakutana nae huko anafanya mambo yake nikamuita hivyo..
Nitakuwa nimeuwa samaki kwa baruti
Hatimae zinatufaa wengine hongela mnoooHahahaha mkuu, kipofu hafinywi mkono wakati wa kula ujue, taratibu mbinu nyingine nimejifunza kwa tabu sana[emoji3]
Hahaha usiogope mkuu, akiuliza Mara ya kwanza mpe savanah alafu mwambie jibu ntakupa ukimaliza, akiendelea kuuliza ongeza Savana alafu jibu lilelile ukimaliza hii nakwambia[emoji40]Ha ha haaa hapa ntalazimishwa nijibu kwanza kabla ya chochote fanya maalifa life hili swali
Wewe hujawahi kula mwenye sumu ya baruti ukajua msala wakeHahaha sio mbaya mkuu, samaki waliouliwa kwa baruti huwa ni watamu sana ujue, sema watu wengi waoga kumla[emoji40] [emoji125]
Wacha niwe mpole mpaka aniambie yeye mwenyeweHewaaa uzuri yupo hulu lakini labda asipende tu
Naona Usingizi hauji kabisaAsante. Usimku mwemA mlinzi mpenda balimi,baba kayayiii.
Ha ha haaa naomba asiwe na msimamo mkali mana akikubali ya kwanza tu haita isha mana ntazipanga foleni kabsaaaHahaha usiogope mkuu, akiuliza Mara ya kwanza mpe savanah alafu mwambie jibu ntakupa ukimaliza, akiendelea kuuliza ongeza Savana alafu jibu lilelile ukimaliza hii nakwambia[emoji40]
Endelea na mchezo kuna muda utashangaa swali limefutika automatically, then uje unishukuru kwa balimi baridi 2[emoji125]