Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imebid niulize mana ni 00:45 alaf watu wanaongezeka kuja badala ya kuagana ili tulale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke aisee. Duh.
Asanteh diaNeybright na hio soft skin yako mmeendana kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wako lindo.Imebid niulize mana ni 00:45 alaf watu wanaongezeka kuja badala ya kuagana ili tulale
Nikiitwaga dia nakosaga pozi ujueAsanteh dia
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mmmmh! Si useme tu mvua ilikufanya ujukumike usiku na mchana? [emoji12] [emoji12]
Baby unajua huu uzi ni wa usiku wa manane?Babe
Ata lindo mida hii unapotezea kidogo mkuu sio mwanzo mwisho [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wako lindo.
Umenisababishia matatizo kwa kunitelekeza ticha wangu, hivi kweli huyo KK angeweza kunifundisha venyewe unanifundishaga ?[emoji12] [emoji12][emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pole sana mwanafunzi mpya wa dirty head,[emoji12]
Hebu sasa pokea uponyaji kwa jina la usiku wa manane utoke huko icu [emoji123]
Niwe tu mkweli nimekumisimo zaidi ya mill 150 za BIKO.
Mekumithiii mondJaman nipo zamu lindo..
Ulinzi shirikishi..
Safi...Saa kumi hapana sidhani kama nitafika huko. I will handle you kwa Thad
Duh. Ulinzi shirikishi ndio kwanza wanatoka kwenda kulindaAta lindo mida hii unapotezea kidogo mkuu sio mwanzo mwisho [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hatari kweli kweli. Wangesema na wadada tukalinde ningekuwa natoka na mto wangu kabisa
sawa my love nimekupata[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Baby unajua huu uzi ni wa usiku wa manane?
Sio ukiamka unacomment tuu hapana unatakiwa uvumilie mpaka usiku wa manane kuingia ndio ujibu na kulike sawa love?
Kama mimi hapa [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wako lindo.
Bas bhna ila siamini kuwa wote wabongo umuDuh. Ulinzi shirikishi ndio kwanza wanatoka kwenda kulinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha tu saa saba narudi zangu bdani nikagombane na kunguni zangu hukuu
Haya bwana wewe tueleze ulipokuwa0:25
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaniua mbavu jamani!Baby unajua huu uzi ni wa usiku wa manane?
Sio ukiamka unacomment tuu hapana unatakiwa uvumilie mpaka usiku wa manane kuingia ndio ujibu na kulike sawa love?