JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aaah ni wewe tu...pesa ipo
9d67e1a33a1020e48983f65a9dff30a8.jpg
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Ahahahaaaaaa huo sasa wivu, embu msalimie shemeji yako kwanza. Na shemeji aheshimiwe na watu wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amina, na alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe[emoji40]
Shemeji Jose nakusalimia, tafadhali nitunzie vyema huyu jirani yetu wa dunia

Mwenye wivu ashajisema huko ujue, mimi wivu sina ila kuna muda karoho kananiumaga[emoji39] [emoji125]
 
Hahaha poa poa mkuu...naahidi kumtunza..Yupo mikono salama msijali
 
Back
Top Bottom