Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Usinambie hilo cheko lako ndo jibu tayari? [emoji4] [emoji4]Ahahahaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinambie hilo cheko lako ndo jibu tayari? [emoji4] [emoji4]Ahahahaaaaaa
Sijambo mpz, jana nilikuja kwa kuchelewa nikakuta ndio unaondoka nikaona bora niende majukwaa mengineNashukuru best!
Niliona mmetelekeza kijiwe chetu cha kusogezea usiku.
Uko poa lakini mamy?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nipo baby
Waenda wapi tena jamani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Oooh! Kumbe tulipishana kidogo [emoji18] [emoji18]Sijambo mpz, jana nilikuja kwa kuchelewa nikakuta ndio unaondoka nikaona bora niende majukwaa mengine
Nipo banah, kuna ka issue nafanya hapa ila nitarudi baadae kidogo mpenzi.Usingizi nusu unikamate mana haupo
Sina neno mie zaidi ya kufurahi tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ngoja tusikilizie jibu lake....huyu jirani wa dunia sio kabisa [emoji23] [emoji23]
Nahisi hawa mashemeji zangu wanafuata hilo cheko lako pia [emoji12] [emoji12]Sina neno mie zaidi ya kufurahi tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila mimi nipogo tuuuKichwa kichafu
Neybright
dingmtoto
Ipogolo
cofta
Manga Ml
Jje's
Maseratii
Nleterewa
Quigley
Kuna watu wamepoteaga humu jomoniii
Ndio jibu hilo ahahahaaaaaaUsinambie hilo cheko lako ndo jibu tayari? [emoji4] [emoji4]
Asante, yeye nleterewa tatizo lenu mkiwa wote mnakuwa na haraka sana ya mambo yenu. Ya msingi hamyazungumzii[emoji12]Heee! Mbona hatupeani kadi?
Yaani hata kakako Nleterewa hakuniambia hizi habari njema, kweli!
Hongera mwaya,keep it up![emoji106] [emoji106]
Pole kwa kuwaza[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mashemeji kila mtaa? This is too much....
(Sorry nimewaza kwa sauti)
Mimi nilikujibu kubet sijui labda kama kuna ufundi mwingine karibuWatu wa humu ndani nimewashindwa tabia yaani mkiwa na kesi mnapotea, mkiombwa kitu mnapotea kwanini mwalia gizani kwa kumwogopa jirani?
Neybright kukuomba uniazimishe baby wako ndo umekimbia kabisa jukwaa?
Kichwa Kichafu kukuomba twende wote mpirani ndo umepotea mazima?
Manga ML kukuomba unifundishe kubet umeacha na kukesha?
Nleterewa Nganengo Kukuomba dawa ya kupunguza wivu ndo umebadilisha na njia hupiti tena huku?
Samaritan kukuuliza swali ndo ukapotea mazima?
Joseverest kukwambia nitakuja uninunulie bombadia ndo hata nafasi yako ya 2 umeiacha kweli?
jje's kukukwambia naomba usiku mmoja tu na KK ndo ukaaga kabisa hapa jukwaani?
Maserati kukuomba blanket nijifunike kupunguza hili baridi ndo huonekani tena?
Jamani sio vizuri hivyo, mimi nilikuwa nawatania tu....kwanza MOYO WANGU SULTAN CHA MTU SITAMANI [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Maendeleo si mabovu sana baby wangu naendelea na ule ujenzi wetu wa taifa, we fanya ka issue kako umalizeNipo banah, kuna ka issue nafanya hapa ila nitarudi baadae kidogo mpenzi.
Vipi unaendeleaje lakini?
Ngoja na mimi nijifunze kucheka maana....nanihisi napishana na bahati hivi hiviNdio jibu hilo ahahahaaaaaa
Yeah nikaona si vyema kukurudishaOooh! Kumbe tulipishana kidogo [emoji18] [emoji18]
Niliwamisimo, naona una tuhuma za kutambulisha mashemeji zaidi ya mmoja kwa Thad, ila naamin kabla hakujakucha utalimaliza hili swala[emoji12]Hatujambo Dear karibu sana
[emoji40] [emoji40] [emoji119] [emoji119]Pole kwa kuwaza
Hiyo ndio furaha yangu sinilikwambia nina mababy wengi sana au hukuniamini?
Ufundi mwingine? Kama upi? [emoji12] [emoji12]Mimi nilikujibu kubet sijui labda kama kuna ufundi mwingine karibu
Okey baby see you baadae kidogo [emoji124] [emoji124] [emoji124]Maendeleo si mabovu sana baby wangu naendelea na ule ujenzi wetu wa taifa, we fanya ka issue kako umalize