Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa taarifa yako, hii mbinu nitaanza kuijaribia kwa KK [emoji12] [emoji12] [emoji12]Halafu kaelewa kirahis kweli
Nimegundua alitaka mbinu sasa ulivyofichua siri anajidai et na yeye atajaribu
Amekuwa akiwaza unafanyeje bila kupata majibu. Vzr leo umemsaidia[emoji87]
Kwa staili yake ndo basi tena mida hii hatumuoni tena itakua week imemdondokea vema[emoji4] [emoji4] [emoji4] Bado aisee...
Bado bhana, Thad amenichekesha na thread yake ikabidi nisaini iniNaona kama mwezi vipi lakini dharula imeshaisha?
Oohoooo! Pole, lala tu mamy kesho nayo ni siku .... tutaonana tukijaaliwa!Ila usingiz haujawah niacha salama
Salimia kitanda ngoja namii nijiandaeIla usingiz haujawah niacha salama
Asante, nawe pia mpendwa!Uchiku mwema wapendwa wa Bwana
Ahaa kumbe unatuchoraga eeh?Bado bhana, Thad amenichekesha na thread yake ikabidi nisaini ini
Nashukuru kwa kuitikia wito.....roho yangu imesuuzika sasa!Bado bhana, Thad amenichekesha na thread yake ikabidi nisaini ini
Umeona eeeh! Itabidi atueleze vizuri!Ahaa kumbe unatuchoraga eeh?
Huu ni msamiati mpya nini? Maana wenzetu nyie wa mjini kila kukicha mna jipya [emoji12] [emoji12]Ngari
Ni habari kwa kikuyu!Huu ni msamiati mpya nini? Maana wenzetu nyie wa mjini kila kukicha mna jipya [emoji12] [emoji12]
Oooh Kumbe! Tunaitikiaje?Ni habari kwa kikuyu!
una jinsia gani?Oooh Kumbe! Tunaitikiaje?
Mwana, mbona unanichongea namna hiyo. Mi orijino!Huyu spade4spade ni mzinguaji tu, saa moja asubuhi ndo anajifanya last man standing! [emoji23] [emoji23]
Muulize vizuri labda tuko naye!Hahaaa kumbe anakujaga saa mojaa
Ahahahaaaaaa leo kanufaikaHalafu kaelewa kirahis kweli
Nimegundua alitaka mbinu sasa ulivyofichua siri anajidai et na yeye atajaribu
Amekuwa akiwaza unafanyeje bila kupata majibu. Vzr leo umemsaidia[emoji87]