JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yule msanii tuu alikuwa hafui wala nini alikuwa anaenda kulala,

Mie huwa nipo busy na vishughuli vidogo vidogo tuu vya hapa home kifupi napenda kufanya kazi usiku
Ha ha haaa anazuga na kufua kila siku labda alikua anakuhofu kukuaga analala
Naweye vikazi hivyo haviishi kila siku?
Hongela kwa kupenda kazi ntakukodi baadhi ya siku
 
Ahahahaaaaaa aiseeh sifanyi kazi kwa watu hata iwe ya malipo,

[emoji31][emoji31][emoji31] memkumbuka iceman wangu sijui lini atarejea
 
Basi hiyo kazi unayo penda itakua ni ile pindwa ha ha haaa

Si ulambiwa ana matatizo ya macho?

Usikute tunae humu hatujui tu jf kichaka ujue

Fanya twende kule mahala alipokualika Maserati unaweza kumsahau
 
Siwezi kumsahau aiseeh, kuna siku nimeingia siasani nikakutana na ile avatar yake daah nikawa mpole sana anyway atarudi tuu

Kule mahali tutaenda nikirudi town sasahivi nipo mbali sana ndugu yangu.
 
Unajuaje kama anakuchora humu ha ha haaa.
mara paaap unamaanisha utakua huna kauli juu yake atakayvo sawa nimpongeze kwa kipaji chake ningejua muhimu wake ningejifunza wakati nakua yani
 
Hawezi nichora banah hana tabia hiyo.

Embu ngoja nipumzike nikutakie usiku mwema.
 
Back
Top Bottom