Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Mkuu, ningepata taarifa zake mapema ningekiajiri kwa leo pale Taifa[emoji40]Hali ya taharuki...huku kibibi kimezuia mvua mtaa wetu tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ningepata taarifa zake mapema ningekiajiri kwa leo pale Taifa[emoji40]Hali ya taharuki...huku kibibi kimezuia mvua mtaa wetu tuuu
Ipumzike sasa mana itatupa ugonjwa wa moyo tuNimerudi jamani was in vacation kuenda sawa na mvua hizi
Hana hata mbwembwe katoka ndani kachora dimba kuuubwa mtaani hapo hapanyeshi kabisa...inapiga kwengine watu wanachekacheka hawajui kuwa bibi ni kigagura....Mkuu, ningepata taarifa zake mapema ningekiajiri kwa leo pale Taifa[emoji40]
Salama kabisa brigedia, sijapotea mkuu, sema harakati wakati mwingine zinakuweka mbali na eneo lenye netwek. Vipi lakini u hali gani?Mkuu habali ya kupotea
Mkuu, nasikia tangu uanze kumfundisha Thad kubet haonekani pande hizi, kulikoni?Mkuu habali ya kupotea
Mimi niko poa kabisaSalama kabisa brigedia, sijapotea mkuu, sema harakati wakati mwingine zinakuweka mbali na eneo lenye netwek. Vipi lakini u hali gani?
Itakua kapata mwalimu wa kubet mimi nilimgomeaMkuu, nasikia tangu uanze kumfundisha Thad kubet haonekani pande hizi, kulikoni?
Hahaha huko vakesheni sijui hata ni wapi swaiba, nahisi nauli yake sio ya mchezo mchezoMimi niko poa kabisa
Pole sana harakati muhimu
Nimehisi na wewe upo vacation kupisha mvua
Ulalu njimcha kapisa mshiki, nimekukumbuka sana[emoji39]Mhhh mbona nipo nimejaa tele?
U hali gani my kaka jaman
Aisee hakika Mtaa wenu una vipaji mkuu, hakikisheni hamuipotezi hiyo hazina, hata kama ina red eyez.Hana hata mbwembwe katoka ndani kachora dimba kuuubwa mtaani hapo hapanyeshi kabisa...inapiga kwengine watu wanachekacheka hawajui kuwa bibi ni kigagura....
Yeah leo Taifa angezima kabisa
Aisee, sababu ni ile ile (bakora) au kuna nyingine?[emoji40]Itakua kapata mwalimu wa kubet mimi nilimgomea
Ha ha haaa duuuh nilijua utatafsiri namii nijue basi ngoja tumuachie mwenyewe kama atatuambia vakesheni nini hasaHahaha huko vakesheni sijui hata ni wapi swaiba, nahisi nauli yake sio ya mchezo mchezo
Karibu mkuu, sisi wengine tupo kwenye viti virefu[emoji481] [emoji482] [emoji482]Oyooooo
Me nipo hapa nasoma kitabu cha mkali Osho "Come follow to you" ila nmeona bora nichungulie humu chember
Hapana sina ufundi wa kubet nimemuomba nimfundishe somo lingine analukaluka tuAisee, sababu ni ile ile (bakora) au kuna nyingine?[emoji40]
Hahaha kumbe na wewe mgeni kwenye hiyo mambo, hebu ngoja tumsubiri Maserati aje atutoe tongotongoHa ha haaa duuuh nilijua utatafsiri namii nijue basi ngoja tumuachie mwenyewe kama atatuambia vakesheni nini hasa