Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Haujamwacha huko kwenye vakesheni kweli[emoji40] [emoji125]Jamani nani kamuona spade4spade ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujamwacha huko kwenye vakesheni kweli[emoji40] [emoji125]Jamani nani kamuona spade4spade ?
Kunywa piriton 30 na balimi mbili mkuu, badae njoo nishukuru kwa hii tiba niliyokupaUsawa wa anko magu huu usingiz adimu kabisa jaman khaa
Mkuu unataka tuuwane?Kunywa piriton 30 na balimi mbili mkuu, badae njoo nishukuru kwa hii tiba niliyokupa
Uko wapi wewe mzee wa kuruka vihunzi [emoji4][emoji4]NEY
MANGA
THAD
MASERAT
KICHWA KICHAFU
JOSEV
ALIBAKARI
NAKADHALIKAAAAA! NAWASILIMIA POPOOOOOOOZ WOTE HUMU NIMEWAMISS SANA TENA SANA TU YAANI SIJUI NISEMEJE AISEE.
AhahahaaaaaaNimerudi jamani was in vacation kuenda sawa na mvua hizi
[emoji3] [emoji3]Mkuu unataka tuuwane?
unachokisema ni keeli Kabisa asee..hapa nimrshtuka kwa usingz ghafla kiza kinene Umeme umakatika kote nilchokfnya nikuamka nakutzama ni sa'ngp..Usawa wa anko magu huu usingiz adimu kabisa jaman khaa
Hapana mkuu bado napenda kuendelea kuwa nakula ugali[emoji3] [emoji3]
Hapana mkuu, kwa hiyo dozi usingizi wake ni wa uhakika kabisa
Hapo mkuu cha kufanya ni kupanga2 mpango wa mishemishe za sikuunachokisema ni keeli Kabisa asee..hapa nimrshtuka kwa usingz ghafla kiza kinene Umeme umakatika kote nilchokfnya nikuamka nakutzama ni sa'ngp..
Hahaha sawa mkuu, karibu kilingeni tuendelee kusukuma geti mpaka lifungeHapana mkuu bado napenda kuendelea kuwa nakula ugali
Jirani mwema mbona spidi sana, nimekukumbuka sana.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Nimepita kuwasalimia nipo busy kidogo see you baadae
Asante mkuu,bado nipo nimetulia na Sprite ya Baridi hapa napoza kooHahaha sawa mkuu, karibu kilingeni tuendelee kusukuma geti mpaka lifunge
Unampa panga ya shingoAisee nimemka baada ya kuota ndoto nimekutana mbwa mkali alafu wote tunaviziana ila mimi nilikuwa na panga mkononi. Hivi kwa situation kama hiyo unajiokoaje vile
Hizo situation hutokea ndotoni tu mkuu, usipate shida endelea kulala[emoji40]Aisee nimemka baada ya kuota ndoto nimekutana mbwa mkali alafu wote tunaviziana ila mimi nilikuwa na panga mkononi. Hivi kwa situation kama hiyo unajiokoaje vile
Timing sasa na huku miguu inagonganaUnampa panga ya shingo
Unatumia panga kufungua buchaAisee nimemka baada ya kuota ndoto nimekutana mbwa mkali alafu wote tunaviziana ila mimi nilikuwa na panga mkononi. Hivi kwa situation kama hiyo unajiokoaje vile
[emoji15] [emoji15]Asante mkuu,bado nipo nimetulia na Sprite ya Baridi hapa napoza koo