Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,836
- 2,536
Alafu alikuwa anasogea kimya kimyaUnatumia panga kufungua bucha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu alikuwa anasogea kimya kimyaUnatumia panga kufungua bucha
Kwa sisi tuiliofuga mbwa,ni rahisi sana kumkabiliTiming sasa na huku miguu inagongana
Mkuu kuna ubaya kupiga sprite muda huu?[emoji15] [emoji15]
Kwakweli una moyo wa chuma sprite saa hizi. Jaribu hii [emoji482] [emoji481] kidogo uone raha yake ilivyo adhimu[emoji125]
Tupeane mbinu hizo mkuuKwa sisi tuiliofuga mbwa,ni rahisi sana kumkabili
Unatisha ..akikujia wangu wangu were unakwenda upande ili kumpisha afu unakata mkia maana sasa atakuwa mbele yako.hageuki nyuma huyo.. Mbio nyingi..Timing sasa na huku miguu inagongana
Hahaha hapana ila kwangu kwa kweli haitopita.Mkuu kuna ubaya kupiga sprite muda huu?
Duuu. Hiyo ni bahati nasibu mkuu. Maana umbali kati yetu sidhani kama angenipitaUnatisha ..akikujia wangu wangu were unakwenda upande ili kumpisha afu unakata mkia maana sasa atakuwa mbele yako.hageuki nyuma huyo.. Mbio nyingi..
Ujanja wa mbwa wote mkuu upo kwenye shingo kama ukiweza kuwa jasiri mkamate shingoni yani usawa wa kichwa alaf kwa nyuma yake,ukishamkamata mnyanyue juu kidgo utaona ujanja wte kwisha anatapatapaTupeane mbinu hizo mkuu
Hii kitu hadimu sana hiiHahaha hapana ila kwangu kwa kweli haitopita.
Unaifikiaje shingo sasa wakati wote mnaviziana. Yeye kajianda kukurukia na wewe umejianda kumfyekaUjanja wa mbwa wote mkuu upo kwenye shingo kama ukiweza kuwa jasiri mkamate shingoni yani usawa wa kichwa alaf kwa nyuma yake,ukishamkamata mnyanyue juu kidgo utaona ujanja wte kwisha anatapatapa
Kwan mkuu wewe ni sanamu?mtegee aruke akiruka2 unamkwepa na kumuwahi kumshika,ufanye kitendo cha haraka sanaUnaifikiaje shingo sasa wakati wote mnaviziana. Yeye kajianda kukurukia na wewe umejianda kumfyeka
I wishKwan mkuu wewe ni sanamu?mtegee aruke akiruka2 unamkwepa na kumuwahi kumshika,ufanye kitendo cha haraka sana
Una panga afu uogope jibwa? Hiyo kweli ndoto..chawanya tumbo akiruka au kichwaDuuu. Hiyo ni bahati nasibu mkuu. Maana umbali kati yetu sidhani kama angenipita
MimiNgoja nifunge mlango mijipopo ilale asubuhi majukumu,ila kwangu kushakucha kitambo jua linakaribia kati now