jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
KaribuPopoziiiiiiii
Jina lako gumu sana ashukuriwe Mungu kuna general jina "MKUU"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuPopoziiiiiiii
Fanya hima kiongozi....ila usisahau kunitumia na tiketi kabisa! Passport ninayo tayari [emoji12] [emoji12] [emoji12]Denmark Odense, nikupe Adress uje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli mimi sio mrembo,bali ni ajuza..[emoji126] [emoji126]
Yes darln and wonderful made[emoji12]Usiogope ni list za warembo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ain't you beautiful?
Naam tupo mabundi tu popo wamekimbiaPopoziiiiiiii
Kwakweli ng'ombe hazeeki maini,bado nina uwezo wa kuandika,kama Mugabe alivyo na uwezo wa kuongoza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ajuza anaandika sentensi zimenyooka vizuri ivyo[emoji57]
Unajua nilihamaki hivyo maana na hizo balimi ulizopiga usije nikosea adabu na kunipigia psyiiii ukifikiri mimi sio dada ako.Hahaha nasubiri akujibu, ila hujajibu kama na wewe ni mmoja wao ujue[emoji85]
Hahahaha tatizo baby wako mbishi sana, anafikiri ile nchi ni Monarchy stateMaskini baby mwenzangu....nasikia wamemfanyia noma magogoni kwake
Eeeeh! Naomba uniazimishe huyo mwalimu wako kwa siku 3 tu ili nijue kama anamzidi uwezo mwalimu wangu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hujawahi kinieleza ni bakora ipi anakufundishia huyu kaka yangu, sisi michezo yetu ni very unique and healthy and more important good about the michezo is confidential[emoji12]
[emoji3] [emoji3]Hujawahi kinieleza ni bakora ipi anakufundishia huyu kaka yangu, sisi michezo yetu ni very unique and healthy and more important good about the michezo is confidential[emoji12]
Unaota jua ili upate vitamini D nini?[emoji4] [emoji4]aisee mi nimetoka nje kabisa niko barazani
Tafadhali usihamie huko kabisa, ukumbuke kuna mkufunzi umemwacha akisoma namba[emoji39]Fanya hima kiongozi....ila usisahau kunitumia na tiketi kabisa! Passport ninayo tayari [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126][emoji3] [emoji3]
Wacha weeh
Ndo maana siku izi naona unatoka shavu tu, kweli michezo ni afya[emoji12]
Uwii scholarship itaingia mwisho wa mwezi thijui itatosha, au ujiazime tutarudishia tuFanya hima kiongozi....ila usisahau kunitumia na tiketi kabisa! Passport ninayo tayari [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ujue mazoea yana tabu sana....sasa umri ule ukimtoa mjengoni atayaweza ya uraiani tena?Hahahaha tatizo baby wako mbishi sana, anafikiri ile nchi ni Monarchy state
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia ndo mkakati wenu siku hizi,tukiwaomba nauli mwesema kopa ukifika nitakurudishiaUwii scholarship itaingia mwisho wa mwezi thijui itatosha, au ujiazime tutarudishia tu
[emoji122] [emoji122] [emoji8] [emoji8]Yes darln and wonderful made[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli ng'ombe hazeeki maini,bado nina uwezo wa kuandika,kama Mugabe alivyo na uwezo wa kuongoza
Hii michezo tunayofanya kama una i feel positively lazima afya ipige hodi my kaka.[emoji3] [emoji3]
Wacha weeh
Ndo maana siku izi naona unatoka shavu tu, kweli michezo ni afya[emoji12]