Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Asante!Thad karibu sana
Leo nawaachia uwanja mjimwayemwaye,mi nitakuwa mpenzi mtazamaji tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante!Thad karibu sana
Yangekuwa mazuri sasa hivi ungekuwa unakoromaMambo yangu poa sana
Vizuri! Enzi hizo mgeni alikua anakaribishwa na kinywaji. Ila zama za vyuma inabidi nikukaribishe story mbili tatu. Karibu katika ulimwengu wa popozNimeshakaa Mkuu
Doh!Nimeshakaa Mkuu
Tukijumuika pamoja itapendezaAsante!
Leo nawaachia uwanja mjimwayemwaye,mi nitakuwa mpenzi mtazamaji tu....
Karibu neyOyooooooo
Popoooz mpoooooo?
Natamani iwe hivyo,ila leo siko vizuri mkuu. Nyie endeleeni tuTukijumuika pamoja itapendeza
Umesahau kuwa ni weekend mrembo![emoji23]Yangekuwa mazuri sasa hivi ungekuwa unakoroma
PopoooOyooooooo
Popoooz mpoooooo?
Ooh kumbe! Mi sijui leo ni siku gani wala tarehe ngapi, nachojua ni kwamba mwaka umeishaUmesahau kuwa ni weekend mrembo![emoji23]
Kuna tatizo. Wanajamii tupo hapa hebu fungukaNatamani iwe hivyo,ila leo siko vizuri mkuu. Nyie endeleeni tu
AsanteVizuri! Enzi hizo mgeni alikua anakaribishwa na kinywaji. Ila zama za vyuma inabidi nikukaribishe story mbili tatu. Karibu katika ulimwengu wa popoz
Duh!!Doh!
Duuh nini tatizo jmnOoh kumbe! Mi sijui leo ni siku gani wala tarehe ngapi, nachojua ni kwamba mwaka umeisha
Acha tu ndugu yangu. Walimwengu wabaya sana wanaweza wakakuvuruga mpk ukachanganyikiwa.Duuh nini tatizo jmn
Kwa kweli hayo utapataAsante
Nipe walau maji ya mfereji