Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Nasikia popobawa wa huku huwa mapachaWewe hutaki?
Au unaogopa popo bawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia popobawa wa huku huwa mapachaWewe hutaki?
Au unaogopa popo bawa?
aisee, ila sikuonagi ukikesha leo kulikoni utaweza kweliIko poa, ndo kama hivi tuko lindo
HahaUtalii
Bora hao mapacha.Nasikia popobawa wa huku huwa mapacha
Kapitiwa huyo, si ajabu ako na simu mkononiDemi ameshasinzia nini?
Niko lindo kiongozi[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwamba umegoma kabiiisaaa!!!
Hahaaisee, ila sikuonagi ukikesha leo kulikoni utaweza kweli
Bila shaka anaota ndoto nzuriii halafu ndefuKapitiwa huyo, si ajabu ako na simu mkononi
Lindo la kiongozi au?????Niko lindo kiongozi
Mbona hunishtui jamani jirani nibebe Rungu langu nililificha uvunguni!Niko lindo kiongozi
HahaBora hao mapacha.
Naskia dar kuna popo bawa wa mchana!
HahaBila shaka anaota ndoto nzuriii halafu ndefu
Natamani kuwaonaNasikia popobawa wa huku huwa mapacha
Ongea taratibu MkuuLindo la kiongozi au?????
Hahaha,sawasawa na nkutakie kazi njema!!Niko lindo kiongozi
Ndiyo..Haha
Sasa kuna mtu alala mchana kweli
Salama kabisa dingiMe mzima miss ney za masiku?
Niliona wasinzia JiraniMbona hunishtui jamani jirani nibebe Rungu langu nililificha uvunguni!
WeeeeeeNatamani kuwaona