Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Majukumu poa tu kama kawaida tunapambana na hali zetuMe niko full masinondo hapa,
za majukumu ya tz ya viwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukumu poa tu kama kawaida tunapambana na hali zetuMe niko full masinondo hapa,
za majukumu ya tz ya viwanda
Pole sana many! Nini mbaya?Hapana jirani, hali yangu sio nzuri kiafya siwezi kuwa zamu leo, acha nisubiri mpaka next week [emoji4]
Hilo ndio jambo la msingi, kumshukuru Mungu kwa kila jamboKwema kabisa mydear tunamshukuru Mungu kwakweli
Asanteh mpz, nadhani ni hali ya hewa tuu. But soon nitarecoverPole sana many! Nini mbaya?
NIKO POA PIA KUNA JAMAA WALIKUWA WANAGOMBANA HAPA NDO NILIKUWA NAWASIKILIZIAKwema kabsa..ww?
Mimi je?Jamani naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125], kesho tena Mungu akipenda.
Salamu zangu ziwafikie kina Thad, jje's, Manga, kichwa kichafu, spide na wengine wote. Usiku mwema nyote.
Lala salamaJamani naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125], kesho tena Mungu akipenda.
Salamu zangu ziwafikie kina Thad, jje's, Manga, kichwa kichafu, spide na wengine wote. Usiku mwema nyote.
Wanagombana nn tena?NIKO POA PIA KUNA JAMAA WALIKUWA WANAGOMBANA HAPA NDO NILIKUWA NAWASIKILIZIA
Asante mpenzi! Mungu akufanyie wepesi upate kuungana nasi tena maana tumekumiss mno!Jamani naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125], kesho tena Mungu akipenda.
Salamu zangu ziwafikie kina Thad, jje's, Manga, kichwa kichafu, spide na wengine wote. Usiku mwema nyote.
Get well soon my dearAsanteh mpz, nadhani ni hali ya hewa tuu. But soon nitarecover
[emoji15] [emoji15] [emoji15] unawasikiliza badala ya kuwaamulia?NIKO POA PIA KUNA JAMAA WALIKUWA WANAGOMBANA HAPA NDO NILIKUWA NAWASIKILIZIA
Mbona hujamwambia kuwa hujala Siku 3 kisa kummiss?[emoji4] [emoji4]Karibu jirani nimekumisimo kweli, alafu ujue Leo zamu yako[emoji39]
haya madongo yote yangu peke angu?Pole kwa safari mamy, nasikia Leo mmelala Chalinze wewe na nduguyo...
Ama kweli vyuma vimekaza vibaya mwaka huu.....
Hivi kwani lazima kuhesabiwa kila mwaka?[emoji4] [emoji4]
Hukutokeaa au Thad alikupa cm yakeNisubiri twende wote maana naona simu inanipa warning ya kuiweka chaji na umeme hakuna[emoji40] [emoji125]
Sio yako peke yako bali na nduguyo wa damu unayesafiri naye kwa miguu.[emoji12] [emoji12]Hau
haya madongo yote yangu peke angu?
Akikujibu uniite nije kusikikiliza utetezi wake...Mbona
Hukutokeaa au Thad alikupa cm yake
Duuuh tunaanzaje wakati tuliijua safari? Huwa tuna fungi lake since January haijalish vyuma vimekaza au vipiSio yako peke yako bali na nduguyo wa damu unayesafiri naye kwa miguu.[emoji12] [emoji12]
SawaAkikujibu uniite nije kusikikiliza utetezi wake...