Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huyo kakaako baki nae tuu, mie pesa za nadharia sizitaki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata usihofu kaka yangu ana hela kama Dr.Shika,hata ukitaka 900 atakupa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ohooo! Tafadhali usitufanyie hivyo mimi na kaka yangu ....Basi huyo kakaako baki nae tuu, mie pesa za nadharia sizitaki.
Ngoja niendelee kupambana na hali yangu.
Asante kwa kampani yako mpendwa,lala salama.Mie acha nikukimbie dear, nikutakie usiku mwema.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nyegera waitu
Huu usemi nimeupenda...!![emoji3]Anahela za kutosha lakini?
Au wataka nije kuzeeka kabla ya umri kwa kuskiliza shida za kakaako mie aka [emoji57][emoji57][emoji57]
Shida zake zake tuu, shida zangu zake ila raha zetu sote [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na makucha yake00:08
Popo amkeni kumekucha
NakusalimuAnahela za kutosha lakini?
Au wataka nije kuzeeka kabla ya umri kwa kuskiliza shida za kakaako mie aka [emoji57][emoji57][emoji57]
Shida zake zake tuu, shida zangu zake ila raha zetu sote [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Embu subiri kidogoAsante kwa kampani yako mpendwa,lala salama.
Wacha na mimi nifunge ofisi hapa maaana naona wateja washalala...
Mzima wewe?Poppoozz
Vipi unaendeleaje dingi?Huu usemi nimeupenda...!![emoji3]
Naendelea vyema mpenzi, uhali gan?Vipi unaendeleaje dingi?
Nakusalimu pia dear, Vipi maendeleo yako kwa ujumla?Nakusalimu
Salama kabisa namshukuru Mungu kwakweli.Naendelea vyema mpenzi, uhali gan?
Namshukuru Mungu naendelea kupumua bila kulipia senti sifuri.Nakusalimu pia dear, Vipi maendeleo yako kwa ujumla?
Safi hiyo.Namshukuru Mungu naendelea kupumua bila kulipia senti sifuri.
Habari za siku kadhaa
Ni nzurii kabisaa, weekend ndio inaanza mdogo mdogo za pilikapilika za hapa na pale?Salama kabisa namshukuru Mungu kwakweli.
Habari za usiku mnene
Mmmmhhhh.Asante kwa kampani yako mpendwa,lala salama.
Wacha na mimi nifunge ofisi hapa maaana naona wateja washalala...
Kweli.Safi hiyo.
Nzuri tupo tunalisongesha hili gurudumu mdogo mdogo.