JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

sina mafunzo ya ulinzi aisee
Ukiwa na Youngblood mlinzi mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kazini,huna haja ya kuwa na wasiwasi hata kidogo,....hapa kazi yako itakuwa tu kuniwekea gahawa na kufukuza mbu..au hizo kazi ndogo pia utashindwa bibie.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ulijua mi mwanaume? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ayaa! Nishakosa kukamatia fursa!! Mi nilijua ni mwanaume, dah![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Popooozz, habari zenu wapendwa! Kama kawaida, popo kongwe popo zee napitia kuwasalimia, mko poa?[emoji106]
 
Back
Top Bottom