JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ayaa! Nishakosa kukamatia fursa!! Mi nilijua ni mwanaume, dah![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
[emoji137] [emoji137] hapa kwenye kona ya kushoto,nyuma [emoji12] [emoji12]
Sawa, ngoja nikate kulia halafu nivunje kushoto nitapasua kwa pembeni na kunyosha moja kwa moja hadi ulipo hapo
 
Kuna lijamaa hapa limelala linakoroma kweli mpaka limepelekea/sababisha nishindwe kulala/kupata usingizi.

Linakoroma kweli
 
Sawa, ngoja nikate kulia halafu nivunje kushoto nitapasua kwa pembeni na kunyosha moja kwa moja hadi ulipo hapo
Isee....kwa mzunguko huo sidhani kama utanikuta,maana kuna jamaa amekaa hapo mbele anagawa ofa,hivyo nataka nikachangamkie fursa [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom