JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Umesema kwamba umekulia kwenye familia ya kichawi je wewe ni mchawi pia.?
Na kama ni mchawi, maana ake uko tayari kutimiza malengo ya kichawi ambayo ni tofauti na ubinadamu au kuumcha Mungu; je umeacha na kujuta mpaka unatupa tahadhari hii.?
Na kama umeacha umekuwa muumini wa nani katika nguzo kuu za imani yaani imani yako imeegemea kwa Yesu au kwa Muhamad au kwa person's natural powers as Mshana jr n Pascal Mayalla call them Psychic powers, the powers within a person determine your destiny.?
Hapo nimeanzia tu, tutaendelea........
Mkuu tutalonga ikifika mida ya wanga
 
Wale wakimzi wote wa forum tunaokutana usiku mnene kaa huu naomba tujuane hapa na tukutane kwenye hichi kijiwe chetu cha usiku mnene.
Nawangoja popoz aka wanga wa forum aka wachawi wa technology.
Ivi nyie jamaa mnalalaga mchana au ni Insomnia inatutafuna??!
 
Back
Top Bottom