Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Karibu sanaSawa ngoja niianze Safari ya mkesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaSawa ngoja niianze Safari ya mkesha
Wewe yule na mimiWhat!? Ipi hiyo? Inawahusu akina nani?
Hahaaa leo umejikaza kisabuni, inabidi nikuachie funguo ili Inna akirudi umpe afunge getiKama hii siuna dude limeamshwa[emoji56]
Inna maneno mengi anakuja kustuka saa11 alfajiri nae anadai amekesha namsubir kwa hamuHahaaa leo umejikaza kisabuni, inabidi nikuachie funguo ili Inna akirudi umpe afunge geti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda wewe na yuleWewe yule na mimi
Kuna wenzako pia walisemaga hivo, ila walipokamatika walikua wapole tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda wewe na yule
Ila mimi hakuna mwenye siri yangu hata moja. Naishi kikunguru kunguru hivi hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli natamani kukuche haraka niwaone mtakavyooneshana umwambaInna maneno mengi anakuja kustuka saa11 alfajiri nae anadai amekesha namsubir kwa hamu
Heheheh!! Kama nechi nimesha mpiga bao3[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli natamani kukuche haraka niwaone mtakavyooneshana umwamba
Itachukua muda sana kukamatika aiseeKuna wenzako pia walisemaga hivo, ila walipokamatika walikua wapole tu
Muda ukifika umefika tu, wewe subirItachukua muda sana kukamatika aisee
Mie refari wa mechiHeheheh!! Kama nechi nimesha mpiga bao3
Hahahaaah wakati huwa hauongopi, wacha tuungojeMuda ukifika umefika tu, wewe subir
Nadhani ushaona hadi sasa Inna nilivo mpikuMie refari wa mechi
Ni kweli kabisaaHahahaaah wakati huwa hauongopi, wacha tuungoje
Saa 8 hii ujue saiv nahis anaota kabisaaaHuwezi jua,matokeo yanabadilika ndio kwanza tuko kipindi cha kwanza.
Twende mapumziko bwana.
Nipo aiseeBest,vp mbona umeondoka kimya kimya?