Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu sio saa moja wewe saa7chalii huonekaniTeh teh sa mojaa
Karibu dingiHodi hodi humu it's a new day again...!!
Nimeshaingia kilingeni comradeKaribu dingi
Hodi hodi humu it's a new day again...!!
Hahaha imesha isha sasa ni tbt throwback thursdayKaribu kamanda. Naona siku ya mr smart imeisha
Ni kweli. Warembo wa huku sijui wamepotelea wapiHahaha imesha isha sasa ni tbt throwback thursday
Warembo wapo busy instagram hasa Inna avumi tu lakin yumoNi kweli. Warembo wa huku sijui wamepotelea wapi
Niaje comrade!!Hey guys..
Ngoja leo twende kibishi bishiWarembo wapo busy instagram hasa Inna avumi tu lakin yumo
Leo ni boys to boys
Kuna namna hapa, labda wamekabwa na hali ya mwisho wa mwaka you know...Ni kweli. Warembo wa huku sijui wamepotelea wapi
Tutafika tu mbonaNgoja leo twende kibishi bishi
Shwari mkuu, naona vijana wako busy inbox[emoji3] [emoji3]Niaje comrade!!
Huenda kiongoziKuna namna hapa, labda wamekabwa na hali ya mwisho wa mwaka you know...