Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
02:08 more love less ego
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sija wahi socialize nae, so kumvagaa mtu sio kitu kizuri.Mi nilijua utamwita Winnone aeleze kilichomfurahisha huko "vituko" vya mwaka jana😂😂
Umenena vyema lakini hapa ndipo sehemu sahihi ya kujaribu socialisation na mtu yeyote anayejumuika mahali hapa na kuextent urafiki mpaka kwenye majukwaa mengine.Sija wahi socialize nae, so kumvagaa mtu sio kitu kizuri.
Ukiwa na madeni alafu vyanzo vya income vinaingiza less kuliko kiwango unachodaiwa huo usingizi unautoa wapi?wenye kuota ndoto ... oteni na Madeni yetu
Baba Mungu atusaidieUkiwa na madeni alafu vyanzo vya income vinaingiza less kuliko kiwango unachodaiwa huo usingizi unautoa wapi?
Usione watu wanapuyanga JF usiku ohoo mambo ni mengi
usingizi ni starehe... wasoipata tuwaonee hurumaUkiwa na madeni alafu vyanzo vya income vinaingiza less kuliko kiwango unachodaiwa huo usingizi unautoa wapi?
Usione watu wanapuyanga JF usiku ohoo mambo ni mengi
Hakika atusaidie, inafikia kipindi dunia inageuka gafra, kila ufanyalo halileti positive impact unabaki kuacha tu mambo yaende kama yatakavyo. But all in all hakuna kusinzia mpaka ufumbuzi upatikaneBaba Mungu atusaidie
sinzia kidogo ili vingine uvifikirie ndotoniHakika atusaidie, inafikia kipindi dunia inageuka gafra, kila ufanyalo halileti positive impact unabaki kuacha tu mambo yaende kama yatakavyo. But all in all hakuna kusinzia mpaka ufumbuzi upatikane
Wengine wanashawishika kutumia seductive ili waupate tu usingizi lakini wapi. I remember kuna mdada alitestify kuwa ilikuwa inamlazimu ameze vidonge vya pilton zaidi ya vinne apate japo lepe la usingizi tu maana insomnia ilikuwa ikimtafuna haswa....usingizi ni starehe... wasoipata tuwaonee huruma
sinzia kidogo ili vingine uvifikirie ndotoni
niunganishe nae nnimfanyie maombi... atakuwa anaitikia tu AAAMINWengine wanashawishika kutumia seductive ili waupate tu usingizi lakini wapi. I remember kuna mdada alitestify kuwa ilikuwa inamlazimu ameze vidonge vya pilton zaidi ya vinne apate japo lepe la usingizi tu maana insomnia ilikuwa ikimtafuna haswa....
ya Dunia ni mengi ChiefNimecheka gafra🤣🤣
Reporting on duty. Jana tulikua na kikao cha dharura chief01:48 Shadow7 na Kichwa Kichafu wera au guys🤓
Tupumzishe mkuu😂wenye kuota ndoto ... oteni na Madeni yetu