Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Yaani saa 1 ndo Ume amka😄😂🤣, akati toka saa 11 watu wako macho🤣Nimeshaamka mkuu🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani saa 1 ndo Ume amka😄😂🤣, akati toka saa 11 watu wako macho🤣Nimeshaamka mkuu🙄
Nilikuwa nalainisha silaha, isije pata kutu🤣😂Duh! Lindo lina mambo ulitaka kujichukulia sheria mkononi?
Tatizo machimbo mengi kuleJana nime kuwepo huko, lakini haja onekana😄😂.
Sera hizi🤣😂Tatizo machimbo mengi kule
Sisi wazee tuna muda wetu maalumYaani saa 1 ndo Ume amka😄😂🤣, akati toka saa 11 watu wako macho🤣
Saa 1 asubui ndo muda eeh🤣🤔Sisi wazee tuna muda wetu maalum
Ndio kwa sisi wazee wa makamo ndo muda ila kwa wale wengine ni saa 4 asubuhiSaa 1 asubui ndo muda eeh🤣🤔
Na Mimi nastaafu soon😂🤣Ndio kwa sisi wazee wa makamo ndo muda ila kwa wale wengine ni saa 4 asubuhi
Hufai kustaafuNa Mimi nastaafu soon😂🤣
Sasa mimi ndo nime tumikia Sera kwa muda mrefu, Tena kwa level kubwa Sana.Hufai kustaafu
Watanipa ubalozi maaana😀Aisee sawa toto 😄😄, ngoja qfl dodoma wata kuona 🤣
Hauja wahi kuibiwa kweli😂🤣Watanipa ubalozi maaana😀
Chuo niliibiwa Simu room nzima tulikua tumelala😀Hauja wahi kuibiwa kweli😂🤣
Hukulia toto😄, Usha zoea kuangalia watsaap 🤓Chuo niliibiwa Simu room nzima tulikua tumelala😀
Hahaa nilienda kulilia chooni mwenyewe ili nionekane strong kwa wenzangu room😀 ila maumivu yake si mchezo maana boom lote nilinunulia simu alafu ikaibiwaHukulia toto😄, Usha zoea kuangalia watsaap 🤓
Aiseeee,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahahaha,Hahaa nilienda kulilia chooni mwenyewe ili nionekane strong kwa wenzangu room[emoji3] ila maumivu yake si mchezo maana boom lote nilinunulia simu alafu ikaibiwa
Aisee wahuni sio watu, Hawa jui huyu pisi Kali, huyu mtoto wa mchungaji 😄Hahaa nilienda kulilia chooni mwenyewe ili nionekane strong kwa wenzangu room😀 ila maumivu yake si mchezo maana boom lote nilinunulia simu alafu ikaibiwa
😀😀😀 walinikomesha, nilinunua nyingine ikaibiwa kwenye daladala(shuttle) nafika darasani sina simu😀Aisee wahuni sio watu, Hawa jui huyu pisi Kali, huyu mtoto wa mchungaji 😄