Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mjini kufagia bure.π€£π€£π€£ mulemule mkuu
Kumwaga taka na ela au sio ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjini kufagia bure.π€£π€£π€£ mulemule mkuu
Mnyakyu hakusemi hadharani na ndiyo maana sikuzote wanaonekana ni wenye hekima....atakuhudumia vizuri sana ukirudi kwenu ukose cha kuwasemeaHapo anaongea mbele ya muoaji au wapo chemba?
Au ahesabu kuanzia 100 kushuka chini..Okay sio mbaya. Basi we wekaga simu mbali hafu silent afu angusha. Unalala ndani ya dk 15
πππππAuaesabu kuanzia 100 kushuka chini..
100,99,98.... Up to -127
Kumanisha nini?Mbona mwandiko eenyewe unaonesha kama umeandika ukiwa wima?
Wanyaki visa sana.Mnyakyu hakusemi hadharani na ndiyo maana sikuzote wanaonekana ni wenye hekima....atakuhudumia vizuri sana ukirudi kwenu ukose cha kuwasemea
Kwa mfano niko pale kama IT support officer, ila mixer watu wa finance wana mizigo yao ya excel umeitwa kwa data entry, hujakaa sawa umetumwa misosi kwa kuwa unaenda nje, mara paap umeonekana kwa mlinzi unatoka anakutuma na maji na vitu kadha wa kadha.πππππππ Daah bado sijapata maana halisi ya neno mzigoni..
Toa mfano zaidi mkuu.
Isije kuwa hata mimi mda huu nipo mzigoni ππππ
Nusu wazaramoWanyaki visa sana.
Nitafanyia kazi mkuu.Okay sio mbaya. Basi we wekaga simu mbali hafu silent afu angusha. Unalala ndani ya dk 15
Nimecheka sana, manake najaribu kuvuta picha fulaniNusu wazaramo
Sisi tunakaa humu ni zamu yetu kulinda server za MaxNitafanyia kazi mkuu.
DaahπSisi tunakaa humu ni zamu yetu kulinda server za Max
π€£π€£Nimecheka sana, manake najaribu kuvuta picha fulani
ππππππππππ Nimeona tuu hapo neno Excel mkuu..Kwa mfano niko pale kama IT support officer, ila mixer watu wa finance wana mizigo yao ya excel umeitwa kwa data entry, hujakaa sawa umetumwa misosi kwa kuwa unaenda nje, mara paap umeonekana kwa mlinzi unatoka anakutuma na maji na vitu kadha wa kadha.
Wote hapa church dodgersSisi tunakaa humu ni zamu yetu kulinda server za Max
Kaka Mimi nime staafu, sasa hivi na observe kuruti wa kumuachia nafasi yanguππ€.Mbona mapema, kuna mwamba Intelligent businessman ndio anazima taa kila siku. Analala 7am
ππππ Mwenye simu kalala mbona... Yupo fofofoKama ubavu wako unakupenda kweli, hautakuruhusu uingie lindo ukapigwe na baridi; kwa mazingira hayo, wengi waliomo lindo sasa hivi mahusiano yao yana changamoto; kama unabisha nyoosha mkono juu!
Ndo hivo mkuu, sio poaπππππππππππ Nimeona tuu hapo neno Excel mkuu..
Itoshe kusema kweli unaingiaga mzigoni ππππππ
Kuruti hali karoti mkuu πππKaka Mimi nime staafu, sasa hivi na observe kuruti wa kumuachia nafasi yanguππ€.
Nina wiki sija lala, so wanao utaka ulinzi mkuu, wa apply form tuπ€