JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Intelligent businessman Patrol officer, umeoondoka na walinzi ama hapana (in kenyan's voice)🤣🤣🤣
Aisee yame kushinda 😂🤣, sema tu uli nimiss jobless pro max USI zunguka Sana🤓.

Halafu Mimi nime lala, hizi notification n zako ndo Zime niamsha.

Walinzi Hawa taki kufata amri za makuruti wapya 🤓
 
Aisee yame kushinda 😂🤣, sema tu uli nimiss jobless pro max USI zunguka Sana🤓.

Halafu Mimi nime lala, hizi notification n zako ndo Zime niamsha.

Walinzi Hawa taki kufata amri za makuruti wapya 🤓
Usijikute sasa sana🤣🤣🤣, ok sawa niseme nimekumiss, unafuraha sasa? i like happy ending
 
Back
Top Bottom