Raine Col
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 468
- 1,460
Mimi nilikua amara nachukua silaha 🤣 🤣 nashangaa nyie mmejazana huku mapema sa tano hiyo ndo usiku wa manane0024, rain na bwana kivuli[emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikua amara nachukua silaha 🤣 🤣 nashangaa nyie mmejazana huku mapema sa tano hiyo ndo usiku wa manane0024, rain na bwana kivuli[emoji35]
Mnhuu,usimwite mtu shetani jamani,kuna kukosana na kupatana...mtapatana ila mwenzio atabaki na kinyongo akikumbuka kauli zako ngumu...pleaseeYule ni shetani tu Tena ni shetani wa kijani yaani ni nyoka wa kijani aliye laaniwa na mungu
uchochezi tu unataka uwauzie silaha?🤣🤣Nishamaliza mbona.....afu usingizi unakuja unakata daa....yule wa efu 3 vp? Mmepatana?
Tunaanza saa 1 kile kigiza tu tunachoMimi nilikua amara nachukua silaha 🤣 🤣 nashangaa nyie mmejazana huku mapema sa tano hiyo ndo usiku wa manane
🤣🤣🤣 tulia wewee🤒uchochezi tu unataka uwauzie silaha?🤣🤣
Vin umegoma kabisa kukua ? 😳 😳Yule ni shetani tu Tena ni shetani wa kijani yaani ni nyoka wa kijani aliye laaniwa na mungu
sameja ameshakutuliza hapo mbele🤣🤣🤣🤣 tulia wewee🤒
Enhee...mchane mchane....kwanza ni nani ili kama nami ashawahi nitibua nichochee moto🤓🤒Vin umegoma kabisa kukua ? 😳 😳
sheria na utaratibu ni wa manane nukta. 🤣Tunaanza saa 1 kile kigiza tu tunacho
🤣🤣sameja ameshakutuliza hapo mbele🤣
😞sheria na utaratibu ni wa manane nukta. 🤣
Sijataja mtu my wewe si umeuliza wa afu tatu kwani humu Kuna mutu jina lake ni afu 3 🤣😁😂Mnhuu,usimwite mtu shetani jamani,kuna kukosana na kupatana...mtapatana ila mwenzio atabaki na kinyongo akikumbuka kauli zako ngumu...pleasee
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏿Sijataja mtu my wewe si umeuliza wa afu tatu kwani humu Kuna mutu jina lake ni afu 3 🤣😁😂
waislam wamefunga, na wa kwa yesu wamefunga nyie ni wa wapi hamtaki kuweka silaha chini 🤣🤣Enhee...mchane mchane....kwanza ni nani ili kama nami ashawahi nitibua nichochee moto🤓🤒
Dah! 🤣😂😁😁😁Vin umegoma kabisa kukua ? 😳 😳
Paganistswaislam wamefunga, na wa kwa yesu wamefunga nyie ni wa wapi hamtaki kuweka silaha chini 🤣🤣
Tunasikitika sisi hadhira 😌Dah! 🤣😂😁😁😁