Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mida hii nilikuwa saloon ya kitaaa, akaja jamaa mmoja, akamuuliza kinyozi anataka huduma ya kupaka "superglue" gharama kiasi gani, ikabidi tumuulize tena huduma gani, akasisitiza kupaka superglue, kumbe anamaanisha "superblack", anyway tupo nae hapa anatusimulia mambo ya Mwanza π