Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sizani kama kwako wanafata maokoto kuna la zaidi...Tatizo wanataka maokoto mkuu π
Japo na wewe ni daily wanakuzingua an kila kukicha πππππππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizani kama kwako wanafata maokoto kuna la zaidi...Tatizo wanataka maokoto mkuu π
Kuna time nakula saa 10 usikuππ€Inamana unaanzaga kupika sa ngapi...??
πππππππ Au mlinzi ?
Weee ni mchawi...Kuna time nakula saa 10 usikuππ€
Hiyo sigara hutoagi hapo mdomoni mkuuππππhaya sasa
walinzi mpo!
12:10 AM
Sa 2 nishalirusha.. ila kula ndio mida hiiInamana unaanzaga kupika sa ngapi...??
πππππππ Au mlinzi ?
sio sigara ni bangi ya kubusti akiliHiyo sigara hutoagi hapo mdomoni mkuuππππ
Duuuh πππππππSa 2 nishalirusha.. ila kula ndio mida hii
Skanka πππππππππsio sigara ni bangi ya kubusti akili
Shida iko wapi au ina madhara kiafya.. π€Duuuh πππππππ
Hii mida mbona sio poa sasa...
shawarmaSkanka πππππππππ
Tupoo comrade tuleetee na depoo hapa ππhaya sasa
walinzi mpo!
12:10 AM
πππππππshawarma
Jumatano hii kakaKumekucha mda huu...
Hiyo itakua ni skanka kaka ,ππππ
Usiku wa manane unaujua wewe πππJumatano hii kaka
aisee, hatutaki kwenda kanisani, hatutaki kuoaπππππππ
Nyie watoto mkiungana mnaweza pindua nchi...
Naona mnaleta ujela jela
Usiku ilishaisha saa 5 kaka kama ingekuwa kule kwetu DRC π¨π© tunasema muchanaUsiku wa manane unaujua wewe πππ
namtoa wapi saa hizi yupo busy kuhudumia ndoaTupoo comrade tuleetee na depoo hapa ππ
Kura mikanja......ππππaisee, hatutaki kwenda kanisani, hatutaki kuoa
Huko kwenu huko...Usiku ilishaisha saa 5 kaka kama ingekuwa kule kwetu DRC π¨π© tunasema muchana