Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😁😁namtoa wapi saa hizi yupo busy kuhudumia ndoa
Kwa Nini kaka 😁😁😁🤣Huko kwenu huko...
Napaogopa sana aiseeee
Naskia kule show show an.Kwa Nini kaka 😁😁😁🤣
Hamna sio kote kaka kasumbalesa,Lubumbashi ni miji mizuri Haina vita ila maeneo ya goma Kivu huko ndio balaa sanaNaskia kule show show an.
Hakuchi kunakucha mda wote watoto wa porini wanakichafua illigal
Huko goma huko ndo kasheshe....Hamna sio kote kaka kasumbalesa,Lubumbashi ni miji mizuri Haina vita ila maeneo ya goma Kivu huko ndio balaa sana
Kule wazungu wanaiba madini wakishirikiana na waasi kutoka Rwanda na UgandaHuko goma huko ndo kasheshe....
Khaaa unaambiwa ukitoka huko we mwanaume...😂😂😂😂😂
Daaah aiseeee... Tunagombania rasilimali...Kule wazungu wanaiba madini wakishirikiana na waasi kutoka Rwanda na Uganda
Inasikitisha sana na kampuni ya apple wana miradi Yao kule goma ya kuchukua madini kakaDaaah aiseeee... Tunagombania rasilimali...
So sad
Doooh ..... We are source of raw materialsInasikitisha sana na kampuni ya apple wana miradi Yao kule goma ya kuchukua madini kaka
Kabisa kaka inasikitisha sana 😭Doooh ..... We are source of raw materials
Wanakufa haoHawa mamelodi mnawaona??
Dah 😂🤓, kisa Nini Sasa 😂Weee ni mchawi...
Itoshe kusema hvo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mchana mwema1:10
Wanalindo nilikuwepo.