To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣wee,sema kweli?Wakutufunga labda mahakama tu ila kwenye soka hayupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣wee,sema kweli?Wakutufunga labda mahakama tu ila kwenye soka hayupo
Ni mwema kila wakatiMungu ni mwema sana
Labda na Ihefu🤣🤣wee,sema kweli?
Mi sikua kitengo nilifunga miguu sameja hata KO sikutakaJeshini tuna timu za kombania. We hukushiriki? Au ndo kitengo KO
njeeeHuioni Mashujaa, JKT etc
Tatizo lilianzia hapo. Hukudhuria michezoMi sikua kitengo nilifunga miguu sameja
njeee
🤣🤣🤣 hivi mliipiga ngapi mara ya mwisho?Labda na Ihefu
Doja wa michezoMi sikua kitengo nilifunga miguu sameja hata KO sikutaka
njeee
Winnone mmemfukuzia wapiSawa na hakuna namna aisee
Walikula hamsa🤣🤣🤣 hivi mliipiga ngapi mara ya mwisho?
weee nilikua one wisoo Combat full kujifungaDoja wa michezo
🤣🤣🤣 Ihefu na simba tunachoweza kufunga ni milango na madirisha tuWalikula hamsa
Mmeshindwa hata kuwaloga? 😂🤣🤣🤣 Ihefu na simba tunachoweza kufunga ni milango na madirisha tu
Service girl na ninajua ulivaa siku ya kuapa tu🤣weee nilikua one wisoo Combat full kujifunga
Abee,nambie Kamanda...umepotea mwee😞