Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
KwemaSalaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwemaSalaam
Ok ok Vin ile Charles ni jina tu kumbe loohMimi ni muislam
Ndioo ndioOk ok Vin ile Charles ni jina tu kumbe looh
Huu ni ushuhuda ? au? mungu ni kitu gani?2:27 AM mungu amesikia kilio changu aisee Asante sana mungu
Amenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume 😍😍Huu ni ushuhuda ? au? mungu ni kitu gani?
Hongera mkuuAmenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume 😍😍
unamchonganisha tena haha, atajibuje? imekua ghafla sanaMbona banned mkuu umekosea wapi tena
😁😂🤣😁😁unamchonganisha tena haha, atajibuje? imekua ghafla sana
Nimeona I'd yake banned baada ya kucomment tu ndio nkashangaa kuna nini kimetokea ghafla hviunamchonganisha tena haha, atajibuje? imekua ghafla sana
Umekua Mzazi, au baba haha hongera VinAmenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume 😍😍
😂🤣😁😁🤣🤣🤣🤣Nimeona I'd yake banned baada ya kucomment tu ndio nkashangaa kuna nini kimetokea ghafla hvi