Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Sifa ya kuitwa mshangazi mjini uwe na hela , tajiri au uwe mnene , likikushika hili mshamba_hachekwi huchomoki ndugu
We kazi yako ni moja tu kwake
We kazi yako ni moja tu kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi wanene sitaki hela zaoSifa ya kuitwa mshangazi mjini uwe na hela , tajiri au uwe mnene , likikushika hili mshamba_hachekwi huchomoki ndugu
We kazi yako ni moja tu kwake
Lala soldier kesho parade23:44
usingizi ni anasa kwetu walinzi tutalala kwetuLala soldier kesho parade
Kalale tu tutafungulia mbwa usijali😂usingizi ni anasa kwetu walinzi tutalala kwetu
Nasikia mbwa alikimbia mabio akakimbilia polisiKalale tu tutafungulia mbwa usijali😂
Ile rungu imekaa kama L inaitwaje?Nasikia mbwa alikimbia mabio akakimbilia polisi
silikumbuki badoIle rungu imekaa kama L inaitwaje?
Unambabua nayo😆