Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwatakie usiku mwema wapendwa😞
Unanikumbusha ofisi za serikalini kunaunafki sana utasikia "hongereni na kazi au hongereni na majukumu kamon. hakuna poleni na kazi 🤣😂😁😁😁😁🤣😂😁😁😁😁Poleni na majukumu!
Nipumzishe fuvu mom...I feel 😓Mbona harakaharaka hivyo jamani
😩hizi kazi ni utumwa mtupu aiseeUnanikumbusha ofisi za serikalini kunaunafki sana utasikia "hongereni na kazi au hongereni na majukumu kamon. hakuna poleni na kazi 🤣😂😁😁😁😁🤣😂😁😁😁😁
Poleh mpendwaNipumzishe fuvu mom...I feel 😓
hongera na kazi daada hongera na majukumu 🤣😂😁😁😁😁😩hizi kazi ni utumwa mtupu aisee
Asante sanaPoleh mpendwa
Nipo kwenye kipaper majukumu nimewaachia wao na mkuu wao🤓hongera na kazi daada hongera na majukumu 🤣😂😁😁😁😁
Usiku mwema malaika wakufunikeNipo kwenye kipaper majukumu nimewaachia wao na mkuu wao🤓
Acha fujo murahongera na kazi daada hongera na majukumu 🤣😂😁😁😁😁
Amina Amina 🙏🏽🙏🏽Usiku mwema malaika wakufunike
mura ni kwa me tafuta upande ke tata🤣😂😁😁😁😁Acha fujo mura
mtihani mwema momy hakuna kitu naogooa kama mtihani mimi nyie, 😁😁😁😁Nipo kwenye kipaper majukumu nimewaachia wao na mkuu wao🤓
mmh! leo upo fire manka 🤣😂😁😁😁😁22:04+